Edward Lokidor ni mhadhiri wa Kiswahili katika Chuo Kikuu Kishirikishi cha Turkana. Yeye ni mwandishi na mshairi mwenye tajiriba pana. Amewahi kuwa mwalimu wa Kiswahili katika Shule ya Upili ya Strathmore School na St. Kevin's Lodwar.
Books by Edward Lokidor
2 published books