Tunu za Umilisi ni msururu wa
hadithi za watoto kwa mujibu wa mfumo mpya wa elimu (CBE).
Mfumo huu unakumbatia utendi na
mafunzo ya maadili ambayo yamejikita katika ujenzi wa umilisi ili kumwezesha
mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza katika mazingira aliyomo (shuleni,
nyumbani na katika jamii pana.)
Kitabu hiki cha fasihi ya watoto ni
mwafaka kwa wanafunzi wa Gredi ya Tano. Hadithi zilizomo kitabuni ni
sisimuzi na sahili ili kurahisisha uelewa huku zikikuza maadili, umilisi wa
lugha pamwe na masuala mtambuko.
Waandishi
v Timothy Omusikoyo Sumba
v Naomi Nzilani Musembi
v Kennedy Mwavali Anduvate
v Sussy Nandama Sumbi
v Wilson Kakai M.
v Mwashighadi Mwambela