TUNU Publishers

TUNU

Publishers

Your Selected Books

Subtotal: KES 0.00
Maisha Yetu
Fiction Junior Secondary General

Maisha Yetu

by Daniel N. Ombati

331 views
KSh 450.00

Book Details

Language : Swahili

Description

Katika mitaa ya vumbi ya kijiji cha Mzee wa Nyama mjini Nakuru, harufu ya nyama choma na milio ya panga inaficha simulizi ya kusisimua ya familia inayopambana na ufukara uliopindukia. Yairo, kijana mwenye ndoto kubwa, anajipata katikati ya dhoruba ya maisha. Wakati baba yake, Mzee Peter Mabea , akifanya kazi za sulubu na mama yake, Bi. Kerubo , akiuza mboga ili kuwapa watoto wao matumaini, safari ya Yairo inakuwa kielelezo cha kila kijana anayeamini kuwa elimu ndiyo ufunguo pekee wa kufuli nene ya umaskini. Kupitia giza la koroboi na changamoto nzito za kimasomo katika shule za Igonga na St. Patrick’s Mosocho , Yairo anajifunza kuwa ushindi hauji kwa urahisi. Je, mwanga wa Nina utaleta nuru mpya katika familia yake? Je, Yairo atafanikiwa kuvunja mnyororo wa dhiki na kuufuta Mwisho wa Giza?

About the Author

Meet the author behind this title

Daniel N. Ombati
Daniel N. Ombati
Also known as " Mwandishi Aliyehitimu Kwa Ncha Ya Kalamu ". Daniel N. Ombati is a rising Swahili literary voice, educator and musician from Entanke in Kisii, Kenya. Though his formal education ende...

Other Books * Not in our catalogue

Kioo cha Nyakati Chozi la Penzi Tabasamu Lililopotea Mwangwi wa Mashairi
View Author

Reviews on Maisha Yetu

Explore authentic reader thoughts and share your own perspective.

Rate & Review

Click a star below to sign in with Google and leave your rating.

No reviews yet

Be the first reader to share your thoughts about this book and guide others.

You May Also Like

More titles from our catalog

View All
Samahani na Hadithi Nyingine

Junior Secondary

Samahani na Hadithi Nyingine Sussy Nandama Sumbi , Timothy Omusikoyo Sumba, Kikechi Kombo
KSh 600.00
Kisima Chenye Hekima na Hadithi Nyingine

Junior Secondary

Kisima Chenye Hekima na Hadithi Nyingine Fred C. N. W. Simiyu , Sanja Leo Leonard
KSh 1,000.00
Kigoda Cha Namunyiri

Politics

Kigoda Cha Namunyiri Sanja Leo Leonard
KSh 500.00
Kudurusu Fasihi

Junior Secondary

Kudurusu Fasihi Sussy Nandama Sumbi , Valentine Andugosi Ekisa
KSh 500.00
CRE (Revision)

Junior Secondary

CRE (Revision) Rehema Mercy Makokha
KSh 700.00
Chaurembo

Junior Secondary

Chaurembo Rajabu Ali Mattaza
KSh 500.00