Kuhusu Kitabu
Kitabu hiki ni mwongozo muhimu kwa wanafunzi, walimu, watafiti, waandishi na wahariri wanaotaka kupanua uelewa wao kuhusu uandishi, uhariri na nadharia zake katika lugha ya Kiswahili. Kimeandaliwa kwa ushirikiano wa wataalamu waliobobea katika taaluma ya Kiswahili kwa lengo la kuziba mwanya uliopo katika fani ya uandishi na uhariri.
Kupitia maarifa ya kitaaluma na mbinu za kivitendo, kitabu hiki kinatoa mwongozo wa kuelewa na kutumia mbinu bora za uandishi na uhariri. Ni nyenzo muhimu kwa wanafunzi na watafiti wa Kiswahili pamoja na wataalamu wanaotaka kuimarisha ujuzi wao na kuboresha ubora wa kazi zao za maandishi.
Wahariri
- Beverlyne Asiko Ambuyo
- Timothy Omusikoyo Sumba
- Vincent Njeru Magugu
Waandishi Walioshiriki
- Hamisi Babusa
- Clara Samiji Momanyi
- Wanjohi Githinji
- Henry Indindi
- Stanley Adika Kevogo
- Naomi Nzilani Musembi
- Sussy Nandama Sumbi
- Jackline Njeri Murimi
- Timothy Omusikoyo Sumba
- Frida Akinyi Miruka
- Makhulo wa Makhulo
- Angela Jepkemboi Sawe
- Rose Atieno Mutende
- Deborah Nanyama Amukowa
- Iribe Mwangi
- Dorcas Muendi Musyimi
- Mary Kanyua Kinoti
- Alex Umbima Kevogo
Kwa pamoja, wataalamu hawa wamechangia kuandaa hazina hii ya maarifa inayolenga kuimarisha taaluma ya Kiswahili na kukuza ujuzi wa uandishi na uhariri.