Mapenzi
Original price was: KSh 600.00.KSh 550.00Current price is: KSh 550.00.
Kuna aina tofauti tofauti ya mapenzi, kulingana na mwandishi. Kama ilivyo mapenzi ya Mwenyezi Mungu, ya
wazazi, ya ndugu na wapendwa, ya wapendanao kama mke na mume, pia ya mtu kuihusu kazi yake.
Description
Kuna aina tofauti tofauti ya mapenzi, kulingana na mwandishi. Kama ilivyo mapenzi ya Mwenyezi Mungu, ya
wazazi, ya ndugu na wapendwa, ya wapendanao kama mke na mume, pia ya mtu kuihusu kazi yake. Mapenzi yanafaa
kuwa na utaratibu wake. Mwandishi anaanika na kuanua uozo ujitokezao sababu ya mapenzi. Uozo huu unaleta utata,
umaskini, kukosana, audui, shida, magonjwa na hata kifo kwenye Jamii. Mwandishi anampa msomaji jicho pevu jinsi
ya kuyakabili haya yote. Na hata kuizalisha Jamii chanya yenye upendo wa haki. Utafiti huu unalenga wanafunzi wa
chuoni, sekondari walimu na wakereketwa wa lugha.
Reviews
There are no reviews yet.