Mizani
Original price was: KSh 700.00.KSh 550.00Current price is: KSh 550.00.
Mizani ni tamthilia kuhusu Mkwasi, mkewe Raufu pamoja na wanao (Nuru na Nuri). Wahusika hawa
wanatofautishwa na imani zao. Mikondofikira na matamanio ya wahusika wakuu yanakinzana kama usiku na mchana. Mahusiano yao ya kijamii yanayumbishwa na utofauti wa imani na tamaduni. Mkwasi ni mganga na mtamaduni mkubwa aliyejizika katika mila na itikadi.
Description
Mizani ni tamthilia kuhusu Mkwasi, mkewe Raufu pamoja na wanao (Nuru na Nuri). Wahusika hawa
wanatofautishwa na imani zao. Mikondofikira na matamanio ya wahusika wakuu yanakinzana kama usiku na mchana. Mahusiano yao ya kijamii yanayumbishwa na utofauti wa imani na tamaduni. Mkwasi ni mganga na mtamaduni mkubwa aliyejizika katika mila na itikadi. Anaogelea katika bahari ya ushirikina bila ushirikiano. Raufu ni mlokole anayemcha Mungu kwa dhati ya moyo wake. Binti yao Nuru anajikuta kwenye njiapanda kwa kusombwa na hisia mseto. Je, mizani itaegemea upande
gani? Kwa nini?
Reviews
There are no reviews yet.