Zambarau
Original price was: KSh 550.00.KSh 500.00Current price is: KSh 500.00.
Mheshimiwa Mwenyekiti anatawala wakazi wa Mibuyuni kwa udhalimu: Wananchi wanafanya maandamano ili kup-inga dhuluma zinazowafika ingawa wananyamazishwa na vyombo vya dola.
Zema, mwanafunzi wa uanahabari anatumia vyombo kadha wa kadha kutetea haki za wanyonge ambao hawana sauti. .
Matimaye, haki inashinda dhuluma wakati kiongozi mbaya (mheshimiwa Mwenyekiti) anabanduliwa madara-kani. Matarajio ya mwandishi ni kuwa wanafunzi wa sekondari watafaidi pakubwa. Tamthilia hii inazingatia matakwa ya mtalaa wa umilisi.
Mwandishi wa tamthilia hii, Elishaphan Wachira (Jina Kubwa) ni ashiki wa Kiswahili ambaye ameandika tanzu mbalimbali za fasihi na lugha. Amesomea taaluma ya ualimu katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. Bwana Wachira ni mwalimu wa Kiswahili katika Shule ya Upili ya Mwan-gaza, Murang’a.
Reviews
There are no reviews yet.