Anduvate K. M. ni mwalimu na mjuzi wa kutunga masimulizi yenye dira mahususi ya mfumo wa CBE. Amefunza katika Shule za Makini na Moi Educational Centre.
Kwa sasa, ni mwanachuo katika Catholic University of Eastern Africa (CUEA), akijikita katika masomo ya Kiswahili na Mawasiliano. Anakuza matumizi ya hadithi kama nyenzo ya kujenga uelewa, fikra na ustawi wa wanafunzi.