TUNU Publishers

TUNU

Publishers

Your Selected Books

Subtotal: KES 0.00
Home Books Poetry Lulu Diwani ya Mashairi
Lulu Diwani ya Mashairi
Poetry Poetry General

Lulu Diwani ya Mashairi

by Hamdan Mohamed Juma and Dr. Sussy Nandama Sumbi

180 views
KSh 500.00

Book Details

Language : Swahili

Description

Lulu ni diwani ya mashairi inayokusudia kuwajenga wanafunzi wa Grade 10 kielimu na kimaadili. Kupitia mashairi yenye muundo wa kirnapokeo na lugha fasaha, mwandishi anawasilisha ujumbe unaowahusu vijana moja kwa moja. Diwani hii inamsaidia mwanafunzi:
  • Kuelewa muundo wa shairi yaani beti na mishororo na mizani na vina
  • Kutambua bahari ya mashairi na kanuni za arudhi
  • Kuchambua dhamira na maudhui na wahusika na mbinu za lugha na toni
  • Kujenga uwezo wa kujibu maswali ya uchambuzi na kukuza maadili na fikra pevu
  • Mashairi haya yanawahamasisha vijana kuwa na tabia njema na kuthamini elimu na kuheshimu jamii na kutumia muda wao kwa manufaa
Hii si diwani ya mashairi ya kufaulu mtihani pekee; ni diwani ya mashairi ya kujenga maisha. Kwa kuisoma diwani hii utajenga fikra na utaimarisha maadili na pia utabadilisha jamii.

About the Authors

Meet the authors behind this title

Reviews on Lulu Diwani ya Mashairi

Explore authentic reader thoughts and share your own perspective.

Rate & Review

Click a star below to sign in with Google and leave your rating.

No reviews yet

Be the first reader to share your thoughts about this book and guide others.

You May Also Like

More titles from our catalog

View All
Chaurembo

Junior Secondary

Chaurembo Rajabu Ali Mattaza
KSh 500.00
Malenga wa Vumba

Adult / Tertiary

Malenga wa Vumba Boukheit Amana
KSh 600.00
Udi wa Mahaba

Poetry

Udi wa Mahaba Kassim Kombe
KSh 550.00
Mizani

Academic

Mizani Sussy Nandama Sumbi , Timothy Omusikoyo Sumba
KSh 500.00
Uandishi na Uhariri; Mbinu za Nadharia

Grade 1

Uandishi na Uhariri; Mbinu za Nadharia Vincent Njeru Magugu, Timothy Omusikoyo Sumba, Beverlyne Asiko Ambuyo
KSh 1,500.00
Samahani na Hadithi Nyingine

Junior Secondary

Samahani na Hadithi Nyingine Sussy Nandama Sumbi , Timothy Omusikoyo Sumba, Kikechi Kombo
KSh 600.00